GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Habari!
Kama kawaida leo nipo hapa nataka nikufundishe mbinu zakutumia ili uweze kutengeneza side income katika mtandao wa JF.
Hii post itakuwa maalumu kwa wote wanaohitaji kutengeneza pesa kwakutatua matatizo ya watanzania na hivyo kutengeneza kipato kizuri tu tena ukilipwa kupitia mobile money Mpesa, Tigo Pesa, Airtel Money.
Kwa kuanza niseme, JamiiForums ni mtandao unaotembelewa na watu wengi Tz.
Zaidi ya watu 1m wanatembelea JF kwa mwezi.
Hii inaweza ikawa idadi kubwa kuliko hata watanzania wanaotembelea Instagram kwa mwezi.
Hiyo maana yake ni nini?
Hapo maana yake JF ni gold mine.
Hapo maana yake ukiwa strategic unaweza kutengeneza kipato kizuri kwa kusaidia watu wengi wanaohangaika kutafuta mtu mwenye ujuzi fulani awasaidie katika changamoto wanazozikabili.
Do you get the point?
Wapo watu wanahitaji watu wenye ujuzi kama wako katika maeneo ya...
📌 • Graphic & Design
📌• Kusaidiwa kupata taarifa sahihi jinsi yakufanya manunuzi mtandaoni.
📌• kusaidiwa kupata utaalamu kuhusu healthy diet.
📌• kusaidiwa katika mazoezi (personal couching program)
📌 • maswala ya ufundi na ujenzi
📌 • maswala ya event planning
📌 • na kadhalika
Sasa unaona hapo hizo zote ni opportunities na unaweza kutumia kutengeneza pesa.
Je, utawezaje?
Najua hili ndiyo swali unajiuliza.
Ok twende taratibu.
1 • Anza kwakutengeneza Authority.
Hapa namaanisha inabidi kwanza udhihirishe kwa member wengine wa JamiiForums kuwa unao uelewa katika mada unazoanzisha.
Kwa mfano unalenga kujiongezea kipato kwa kusaidia watu kupata taarifa kuhusu jinsi yakuanza Online freelancing inabidi kwanza uwe unetoa mada angalau 6 zinazohusu Online Freelancing kabla yakupata mteja wako wa kwanza.
Ukitengeneza Authority kila mtu atakuamini hivyo itakuwa rahisi watu kukulipa kwa muda na maarifa yako.
Na watafanya hivyo bila kusita kwasababu kupitia posts zako unaonekana kweli unafahaamu unachojaribu kuwaeleza wengine.
Iwapo una ujuzi fulani na unadhani watu watakuwa tayari kulipia why not try?
2 • Fahamu Money is in the list.
Hii ni powerful.
Ili potential clients akulipe pesa kwa huduma unayotoa basi tambua hato fanya hivyo siku ya kwanza.
Anaweza akawa tayari landa baada ya siku tatu au siku tano au haya wiki.
Kwahiyo hapa ni muhimu kujua namna gani utaweza kumfanya huyu potential client akubali kulipia huduma yako hatimaye.
NB : Ninaweza kukufahamisha vizuri kuhusu hii mbinu iwapo utahitaji. Unaweza niandikia.
3 • Fahamu Consistency is Key 🔑
Hapa naamisha uwezo wakuendelea kuhabarisha watu bila kusuasua.
Yes, inabidi ujiwekee rabita.
Na ujitajidi kuifuata hiyo ratiba.
Kwa mfano unaweka ratiba yako-post mara tatu kwa wiki.
Ukifanya hivi watu walio interested na ujuzi unaogawa, trust me wataanza kutaka kufahamu zaidi.
Na ukifika hii stage basi fahamu soon you are going to close the deal.
Kwahiyo point muhimu kabisa mbali na kuwa na ujuzi ni kuweza kuwa na uthubutu wakufanya mambo bila kusua sua.
Anza leo halafu after few days utaona matokeo yake.
4 • Jifunze Kuandika Headlines (Kichwa cha Habari) Kwa Namna itakayomfanya potential client atake kufungua Post/Thread Yako.
Unajua nini?
Watu wanapenda kusoma au kusikia “interesting news”.
Hiyo weka akilini.
Kwahiyo ukitaka post yako kweli watu wafungue na kuona nini unachozungumzia basi you need to know how to catch the attention of the reader.
Lakini unawezaje kufanikiwa katika hili?
Jibu ni rahisi.
Learn from people who know (Mentor).
Hii itasaidia kuokoa muda kwasababu utaweza kujifunza kwa haraka na kuepuka makosa yanayoepukika.
5 • Anza kutengeneza blog yako.
Unajua kwanini?
Kwasababu ikitokea siku umepata ban (kufungiwa) basi watu wako hawata kukosa.
Yes, blog ni uwanja mzuri unaoweza kutumia kuanzisha biashara yoyote as long wapo wateja.
Don’t be shy.
Anza leo.
Trust me, baada ya miezi michache utakuwa tofauti sana.
Na pia kufanya yote haya ni bure kabisa.
Online Hustle Tz