GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,657
Mambo vipi wakuu?
Ni siku nyingine tena tunakutana.
Leo nataka nikuonyeshe jinsi yakufahamu iwapo Online Business unayotaka kuanzisha ni sahihi au kinyume chake.
Kufahamu mambo haya matano ni muhimu kwasababu itakusaidia KUOKOA MUDA lakini pia itakusaidia kufahamu iwapo side hustle unayotaka kuanza itakutengenezea pesa.
Lakini kabla sijaendelea niseme tu mtandao umetoa nafasi kubwa sana kwa vijana popote pale walipo kujiongezea income.
Some of people I know they make so much money online up to $10,000 a month.
Hapo unaweza ona jinsi wanavyoishi comfortable lifestyle.
But make no mistake.
Inahitaji kujifunza na kufanya kazi every single day to get there.
Kwahiyo hapo kazi ni kwako.
How hungry for money you are?
Ukiwa unataka pesa kweli you won’t settle until get them. Lots of them [emoji383]
Ok.
Baada ya maelezo hayo now lets go to today’s class.
1 • Haufahamu utalipwa vipi pesa baada ya kufanya kazi au kuuza bidhaa/huduma Online.
Ok.
First thing first.
Nimeona biginners wengi wanafungua account kwenye baadhi ya website mtandaoni ili wafanye kazi lakini hawajui watalipwa vipi pesa.
Hili ni tatizo.
Inabidi uelewe kwanza how you are going to get paid.
Usianze side hustle online bila kufahamu urahisi wa kupokea malipo yako.
Kama umekwama kufahamu namna gani unaweza kupokea malipo iwe kwenye Store yako ya dropshipping au sehemu nyingine yeyeote pata maelezo toka kwa mtu anayefahamu.
Ukifanya hivyo utajifunza kwa haraka na kuokoa muda.
2 • Unategemea kutengeneza pesa siku ya kwanza baada ya kuanza Business.
Hebu tuongelee hii issue.
Unajua some people are not realistic.
Unakuta mtu anataka aanze Online Business aliyochagua halafu atengeneze pesa kesho yao au baada ya siku tatu.
Watu wanamna hii wapo desperate for money na mara nyingi hawapo tayari to do the hard work.
Nikukumbushe you need to work off your ass before you get money [emoji383]
Na iwapo ukiwa hard worker. Trust me you will make so much money that you never imagined before.
But you need to start somewhere and do the hard work.
Leo mchana niliweka post hii ili kisaidia yeyote anayetaka kuanza affiliate marketing baada ya siku mbili. Unaweza isoma na kama upo interested send me email.
3 • Unaogopa/Haujui kuuza.
Ok.
Let me tell you something.
Ili upate pesa yakueleweka mtandaoni you need to be good at selling.
Period.
Iwe unafanya dropshipping, Online freelancing, affiliate marketing au Social Media management.
Kote huko you need to persuade people to buy from you.
Sasa hapa watu wengi wanakwama.
Na iwapo huna mtu wakukuelekeza jinsi yakufanya utakwama zaidi.
Kumbuka kuuza Online it is a Step by step process.
Inabidi uzielewe Step hizo na kuwa mweledi ili kila unayemuuzia asiseme hapana.
And the best way to do it do learn from someone who’s doing it already.
Usiogope kuweka katika maarifa yakatayokusaidia miaka mingi baadaye.
Kama unatumia thousands kwenye mambo yasiyo yamaana sana why not investing same or more money in your future? Your business? That will generate you more money?
4 • Unataka kuanza kwasababu yakufuata mkumbo badala yakuelewa.
Hiyo vipi?
Some people start online business because everyone does it.
My friend if you have this mentality you are not ready. I’m telling you.
Ili uanze Online Business kwanza kabisa inabidi uwe na taarifa sahihi.
Na kupata taarifa sahihi ni wewe mwenyewe kuchimba kwa kina ili ufahamu hiyo business ikoje ikoje kwanza.
Unaweza kufahamu hili kwa aidha kutumia google au kuuliza maswali kwa mtu anayeelewa zaidi.
Usiwe bendera.
Pata kwanza first class info na baada ya hapo utakuwa vizuri kuanza.
And I’m telling you if you have correct info at hand before you start side hustle online you more likely succeed.
5 • Biashara unayotaka kuanza inahitaji pesa nyingi sana kuanza.
Ok.
Hii nayo ni muhimu kufahamu.
You don’t need lost money to start online business.
Ukiona Online Business unayotaka kuanza inagharimu lesa nyingi sana (hapa pesa nyingi ni kama vile $1,000 +) basi fahamu uwezekano wakupoteza ni mkubwa tu.
Online business inahitaji ianze chini ili ukuwe nayo na kupata uzoefu.
Pia kama ukiweza kuunda Online Business kwa kuanzia na pesa kidogo tu basi wewe ni mjasiriliamali wa kweli Unajua jinsi ya ku-Hustle.
Does that make sense to you?
If it does nindikie nifahamishe jinsi navyoweza kukusaidia.
Kwa leo naomba niishie hapa mpaka tutakapokutana tena siku nyingine.
Cheers [emoji383]