Mambo mbugani hapo...Vita ya Tembo na Mamba!!!!

Aaa wapi, tembo hawezi kuuliwa na mamba, Wakongo wanasema "nguvu ya mamba kumai", na mamba kesha tolewa majini. Ila picha ya kwanza dogo kafyata mkonga wake!
 
duuhhh hiyo inaonekana ina uma sana ..
tembo mpaka anavuja maji .....
 
Babu malizia story basi

Mkuu,

ngoma draw hio!...Mamba alirudi majini baada ya tembo kuona haina haja kuendeleza ubabe!
Kisha Tembo walirudi baadae wakan'wa maji bila wasiwasi.

Kama alivyosema Hussein Njovu hapo juu, nguvu ya mamba ni ndani ya maji, ukimtoa nje basi nd'o kwishnei.
 
maskini ya mungu tembo hadi mishipa imemtoka jamani kwa maumivu
 
Aaa wapi, tembo hawezi kuuliwa na mamba, Wakongo wanasema "nguvu ya mamba kumai", na mamba kesha tolewa majini. Ila picha ya kwanza dogo kafyata mkonga wake!
Bro umehadimika sana siku izi...!
 
Nafahamu hapa ni habari za picha. Ngoja nitoke nje kidogo kwa wapenzi wa hizi vita.

Angalia hii vita ilivyokuwa ngumu maana hiyo ya Tembo na mamba ni cha mtoto......

Video imeangalia na watu zaidi ya milioni 50.

Last edited by a moderator:
..Na mamsapu ametulia tu ndio nini kutoa ushirikiano au hajagundua tofauti?? Dah! Yaelekea jamaa alikuwa na ngale ya hatari...

Sajenti...banaee akili yako iko mbali sana aisee!!!
 
Nafahamu hapa ni habari za picha. Ngoja nitoke nje kidogo kwa wapenzi wa hizi vita.

Angalia hii vita ilivyokuwa ngumu maana hiyo ya Tembo na mamba ni cha mtoto......

Video imeangalia na watu zaidi ya milioni 50.

Mkuu hii kitu ni classic mpaka leo.Shukran kwa kutukumbusha mambo ya mbugani...survival for the fittest!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…