Mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni ya SGR

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
 
tena elimu itolewe hasa maana kuna wakati wabongo tunapenda kujitoa ufahamu halafu hatua zikichukuliwa tunazilaumu mamlaka mbalimbali za serikali.
 
Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
JF ungeweka text siyo kila mtu anaweza kufungua video na kusikiliza.
 
E-ticket system Yao haieleweki una book train ya aina Gani wafanyie wepesi mfumo wao sbb unachngamoto
 
Mfuko upo bomba kabisa. Hauna shida yoyote. Omba mtu akusaidie kama una changamoto ya kuelewa.
 
Kuna baadhi ya masharti kibongo bongo ni magumu sana kama kusafiri na shangazi kaja na chakula. Watalegeza wenyewe baadae.
 
Back
Top Bottom