JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
JF ungeweka text siyo kila mtu anaweza kufungua video na kusikiliza.Tangu ilipoanza kutoa Huduma wiki tatu zilizopita, Treni ya Umeme (SGR) imekuwa ikifanya safari kati ya Dar es Salaam na Morogoro. Kufikia Julai 25, 2024 safari zitaongezwa hadi Dodoma. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo Abiria anatakiwa kuzingatia anapotumia Treni hii
Mfuko upo bomba kabisa. Hauna shida yoyote. Omba mtu akusaidie kama una changamoto ya kuelewa.E-ticket system Yao haieleweki una book train ya aina Gani wafanyie wepesi mfumo wao sbb unachngamoto