Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

Mambo muhimu ili kuanza Biashara ni yapi?

Biashara yoyote ambayo itamfanya muhusika kukidhi anayahitaji! Es! Ni kweli ni hayo tunayasemeshwa na watalaamu na kwenye Vitabu?
Kwenye vitabu kuna mengi, na kuna machache ambayo hayapo kwenye vitabu na hakuna mtu atakuambia 😹
 
Fanya SWOT ANALYSIS

Strength...Je unamtaji wa kutosha.

Weakness......udhaifu wako ni upi....ufanyie kazi

Opportunity......ni fulsa Gani zipo zinakuzunguka ....mfano bidhaa zinazoweza uzika fasta

Threats.....tambua changamoto zilizopo before kuingia field...mfano competition, uchawi [emoji23][emoji23]
 
Lb hapa uchawi! Unauanalaizi vipi?
 
Unataka nikuaminishe ushirikina? Naona iman yako ndiko inakoelekea

Biashara ni uthubutu ukipata wazo usijiulize mara mbili tekeleza hapo hapo
Labani mtaalam ameutaja katika SWOT analisisi!
 
Back
Top Bottom