Mambo muhimu ili ufanikiwe katika maisha

All in all, connection, katika dunia ya sasa hicho ndo kitu muhimu....mjini ukikosa connection utasumbuka Hadi maiti yako kutolewa mortuary, na eneo la kuzikiwa pia utapata kwenye maporomoko mvua ikinyesha kaburi lako linasombwa... CONNECTION!
Ndio bahati ya kukutana na watu watakao ku connect na mambo ya msingi. Wapo ambao ndugu zao wapo kwenye nafasi nzuri ila hawataki kuwa connect.
 
Hii ndio bahati au nyota yako kung'aa kuzid wengine.
 
Mimi nipo kwenye kundi kwenye bahati maana kuanzia shule yamsingi hadi chuo nilikua napata matokeo nisiyoyatarajia. Na hata kazi nilipata bila kutegemea mpaka leo huwa siamini
Safii sana endelea kusali ili ulinde bahati yako.
 
Aaa mkuu.. yaani pengine kuna sehemu unapata tabu na shida nyingi ila kuna sehemu unatafutwa ukawe MFALME.. daah maisha haya wewe acha tu [emoji23]
Nabii hakubaliki kwao, tafuta sehemu ambayo thamani yako itaonekana. Ndio maana wanashauri tuwe tunasafiri sehemu mbalimbali, husaidia kukua kiaikili, kimtazamo nk
 
Risk taker hawa ndy watu wenye 80% ya kupindua Meza ya mafanikio..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…