the journalist
New Member
- May 26, 2024
- 2
- 3
Tanzania kama ilivyo nchi nyingi zinazoendelea duniani na isiyo na uchumi uliosimama, ikiwa nchi yenye kujitegemea ki salafu, uongozi na sekita nyingine muhimu. Lakini bado haijafikia kuitwa inchi yenye maendeleo ya juu maendeleo stahiki yanayoiwezesha inchi kusimama kiimala katika nyanja zote hasa sekta ya uchumi ambayo ndiyo ujasiri na nguvu kubwa ya taifa lolote duniani likiwa na uchumi mzuri na wakujitosheleza bila kutegemea misaada kwa kiasi kikubwa basi hilo huitwa taifa lenye nguvu.
Tanzania kama nchi inahitaji mambo makuu hya matano ambayo kimisingi yakizingatiwa na kufanyiwa kazi basi tutapata lile taifa la ahadi linalofikilowa na ndio tamaa ya kila mtanzania.
Jambo la kwanza ni uvumbuzi na utafiti, kumekuwa na kufeli kwa sekta nyingi nchini hapa sio kwa sababu wizala husika haijatoa bajeti nzuri ila tanzania inatatizo la upungufu wa tafiti katika kila jambo, sekta hazina data za kutosha kabla ya kuanzisha miladi na hivyo kupelekea miladi mingi kuonekana si ya maana kwa sababu si kitu kilichohitajika kwa wakati huo, hivyo nchi iwekeze katika tafiti na vumbuzi katika kila sekta na kuto kufanya mambo kwa kukisia zijue wananchi wanataka nini, nchi inataka nini, na nini kifanyike, kwa njia gani, na sio uvivu wa tafiti na ukisiaji na kutekeleza mipango kw amazoea.
Wananchi waamke na kujipanga wenyewe kwanza tanzania ni moja ya nchi ambazo asilimia kubwa ya watu wake huona maisha wanayo ishi basi wameyasitahili na kuona kama waliofanikiwa basi walichaguliwa, ni utamaduni wa watanzania wengi kuto jisumbua kwa kutamani kufika mbali na wengi hawaugopi kabisa umasikini na kuona umasikini ni moja ya maisha yao hivyo serikali ijitahidi kuweka chachu na kuwapa motisha wanachi watu wafundishwe kuwa umasikini sio sifa au sio kawaida ya maisha. Nchi zilizoendelea kama chona, japani ni wananchi kwanza wanapambana kwa kila namna kabla ya serikali, hata kama serikali itajitahidi vipi kama wananchi wenyewe hawana mwamko basi tutakuwa na nchini yenye serikali tajiri lakini wananchi masikini.
Mikopo yenye tija leo hii kumekuwepo na mashirika na tasisi nyingi za mikopo ambayo kimusingi haisaidii kile amabacho kinahitajika ili kumwinua mwananchi kuwepo na mikopo yenye tija kama mikopo ya biashara, mashamba, vyombo vya usafiri, ambavyo vitampa mtu ajira ya moja kwa moja na sio pesa eti ndio akawaze nini cha kufanya au pesa kutotosheleza kabisa malengo hivyo mikopo iwe yenye nguvu na sio pesa pekee mtu akitoka kuichukua anakutana na shida anaishia kuitumia na kubaki na madeni yasiyo ya kawaida.
Serikali iwekeze katika sekita zote muhimu tanzania ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa inategemea sana uwekezaji wa nje nchii yenyewe imekaa pembeni na kutizama watu wakinufaika na yenyewe kupata kiasi kidogo tu cha manufaa hayo hivyo ni muhimu serikali iwekeze katika sekita nyingi kama biashara, madini, kilimo ifikie mahala nchi kama nchi iwe na mitaji yake mikubwa, maduka makubwa, makampuni makubwa, viwanda vikubwa, na sio kutegemea kodi pekee na ushuru serikali ichangamkie sekta zote mhimu.
Adhabu kali mafisadi kwanzia hawa wa nchini na usimamizi wenye nguvu kwa kila sekta, Moja ya mududu mbaya katika maendeleo ni rushwa na matumizi mabaya ya fedha za nchi lakini kwa wakati mwingi tanzania imekuwa ikilia na viongozi wa juu kuwa ndio mafisadi na kusahau kuwa tatizo hili lina mizizi huku nchini linanzia kwa viongozi na wasimamizi wa nyanja za chini kabisa kila sekta utasikia wizala imetoa pesa za kutosha kujenga shule ya kisasa lakini shule itakayo jengwa haina hata robo ya hadhi ya pesa zilizotolewa hivyo hiku chini bado kuna changamoto kubwa sana hivyo serikali iamke iwawajibishe na kila mtu awe na aibu na nchini yake ajisikie vibaya kuiumiza nchi yake leo utasikia mtu anakemea rushwa lakini hta yeye akipewa hicho cheo baada ya mda mchache tu nae anasahau msimamo wake na ni kutokana na watu kutokuogopa adhabu wanazopewa watu wnaokutwa na makosa kama hayo.
Utaifa usisitizwe. Nchi hii inapambana kukuza uchumi lakini ni nchi ambayo inaupungufu wa roho ya utaifa hivyo mijadala itumike kywajenga watu kuwana hisia kali na taifa hakuna taifa lililo endelea ukute watu wanaotazama nchi yao kama kitu cha kawaida sana hivyo kwanzia watoto, vijana na wengine rika zote walishwe neno na sumu ya utaifa hii itasaidia watu kulitazama taifa lao katika namna nyingine namna ya kupambana kutamani kuliona mbali na kuwa hata na hofu ya kulidhurumu, watalipenda na kuliombea kila siku taifa hili viongozi wafundishwe utaifa wawe na hisia kali na taifa hili litafika mbali.
Na mwisho ni kwenda na kasi ya dunia, dunia sasa hivi iko kasi na tekinolojia hivyo nilazima na hakuna njia ya kuepuka teknolojia kuiepuka ni kupoteza mwelekeo hivyo nchii iwekeze ingalie future ijione katika miaka hamsini ijayo ya tekinolojia ikimbizane na kasi ya teknolojia na sio kusubili teknolojia fulani ipitwe mda wake sisi ndo sasa tunaichukua kwa mwendo huo nchi itabaki nyuma kila siku hivyo ni lazima kuwepo na mikakati madhubuti inayohusisha tafiti na chambuzi yakinifu za kitekinolojia na sio kukurupuka au kusubili kufata nyuma ni nchi pekee zenye teknolojia kubwa ndio sasa hivi zenye nguvu duniani.
Kwa kuzingatia hayo nchi au taifa hili la Tanzania kwa kipindi kisichozidi miaka mitano itakuwa ni taifa lingine kabisa taifa kubwa lenye nguvu na lenye kijitosheleza angalau kwa asilimia 89% na hata zaidi kwa kadri siku zinavyoendelea.

Upvote
2