Mambo muhimu kuzingatia..

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
1. Hakikisha unapoongea na simu unatumia sikio la kushoto
2.Usinywe dawa na maji baridi
3. Usile heavy meals baada ya saa kumi na moja jioni
4. Wakati simu yako imeisha charge na kubaki bar moja, usipokee simu yoyote utakayopigiwa kwa sababu simu inapoisha charge kama hivyo, radiation is 1000 times stronger.
 
ahsante my dear Boflo
 
Last edited by a moderator:
Hehehehe, haya banaa. Kwani wewe ni mrs small house rutherford au? Utatuulia dada yetu kwa pressure ujue!
hv kumbe ni rutherford ,okey!ahahahhahhahhahhahah dada yenu ashanifanya zombie yailhai simwachi akapumua!af wewe huku ni JF doctor tuashaanza kuleta habari zetu hapa!hebu twenzetu uwanja wa nyumbani!huku tunachanganyia tu watu habari!
 
Pia usinywe na kuendesha. Wala usimzoeze mbwa kukufuata kila mahali hasa ukiwa Afrika. Usipende kuwakimbia polisi hasa wa Marekani bila sababu.
 

:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2:

Na ukishikwa na KIU na MKOJO kwa wakati mmoja auanze na lipi? Kunywa maji au kukojowa?
 
Boflo ungetoa na reasons kwenye 1 mpaka 3, why mtu asifanye hvyo?
 
Last edited by a moderator:
Tutakwepa vingapi Boflo na Tanzania yetu?
Huko Manyara wanatumia uranium kuhifadhia nafaka, je tutapona kweli?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Boflo, ahsante...lakini may i ask why(why shoukdnt i/we do so)?
 
Last edited by a moderator:
Boflo, bwana...huishi kuleta habari kila uchao.
 
Last edited by a moderator:
eeeh Boflo hii sijui nimekutana nayo wapi leooo.........asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…