Mambo muhimu kuzingatia..

Asante kwa ushauri... Ila kama vyote nimeshakosea kuna namna ya kureverse?
 

Ahsante Dokta Boflo
 
Last edited by a moderator:

Kuhusu kula heavy food,mimi nilishauriwa na daktari nile mwisho saa tisa jioni(na nimezingatia),aliniambia kuwa usiku mwili haufanyi kazi na viungo vyote vimepumzika kwa hiyo chakula utakachokula hakitatumika badala yake mwili utakihifadhi kwa mfumo wa mafuta na ndio sababu kubwa ya kuongezeka uzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…