asiyetabirika
Member
- Oct 14, 2019
- 46
- 56
Hii biashara inahisiwa kuwa ni moja kati ya biashara imara na yenye faida kubwa huku ikihitaji mtaji mkubwa ili kuianzisha,
Sasa kwa wadau mliopo kwenye hii bishara tushirikishane namna inavyo anzishwa, mtaji, inavyoendeshwa, faida inayopatikana lakini pia bila kusahau kodi za serikali ambazo huwa zikitakiwa.