Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Fahamu Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapopeleka Simu Yako kwa Fundi ili kuepuka taarifa zako binafsi kuvuja

1. Ondoa laini ya Simu: Hakikisha umeondoa laini yako ya simu ili kulinda taarifa zako binafsi.

2. Cheleza (Backup) taarifa Muhimu: Fanya backup taarifa zako muhimu ili kuhakikisha hupotezi taarifa hizo

3. Futa Taarifa Nyeti: Futa taarifa nyeti au za siri kwenye simu yako ili zisiweze kufikiwa na fundi au watu wenye nia ovu.

4. Ondoa Nywila: Kumbuka kutoa Nywila (Passsword) ya simu yako na sio kumpatia fundi. Pia, usimpe nywila za sehemu nyingine nyeti kama WhatsApp, baruapepe...
 
Kabisa ,simu ikiharibika namsimamia fundi kabisa hapo hapo ,achukui chochote.

Maana hata Nsia Swai picha zake fundi ndiyo alivujisha.
 
Back
Top Bottom