THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Ikiwa imepita miaka toka mkali wa mitindo na mtayarishaji wa muziki nguli wa mitindo ya kufoka foka Kanye West siku ya Alhamis aliweza kuachia EP yake inayoitwa "DONDA" ikiwa ni jina la Hayati marehemu mama yake na Kanye West.
Mkali huyo mzaliwa wa Atlanta aliweza kuandaa sherehe ya usikilizwaji wa album hiyo kwenye uwanja wa Mercedes-Benz uliopo katika jimbo la Atlanta ukihudhuriwa na maelfu ya watu takribani 42,000 elfu.
Lakini mashabiki waliweza pia kusikiliza album hiyo Apple music. Shoo ilitarajiwa kuanza takribani saa 8:00 ET usiku lakini Kanye alichelewa masaa mawili mpaka mashabiki kuanza kufikiria Kanye West ameamua kubadilisha uamuzi ikiwa tayari wameshalipia viingilio kama unavyojua viingilio vilikuwa n vya aina mbili kawaida na VIP.
Lakini ndo hivyo tena ni Kanye, unafanyaje kwa mfano. Kanye aliweza kuingia kwenye uwanja huo akiwa amevalia jeans nyekundu,tan mask (Mask kama za majambazi wanaoiba bank ikiwa imeficha uso mzima)raba nyekundu Adidas Yeezy 1020V,singlendi nyekundu na jaketi nyekundu ikiwa ni mavazi yake mapya yanayotarajiwa kuzinduliwa YZY Gapline.
Kanye aliweza kuzunguka uwanja mzima bila kuongea kitu chochote kwa takribani dkk 46.
Lakini mashabiki hao waliweza kusikia nyimbo kama "No child is left behind " lakini shangwe ilikuwa ni nyimbo ya mwisho aliyoshirikishwa Hov almaarufu Jay 'Z huku mstari ikisikika yeye na "Kanye ni kama Yesu na Musa".Cha kushangaza pia Jay-Z aliingiza mistari ya nyimbo hiyo ikiwa ni masaa kadhaa kabla ya show..Pia albuma hiyo kagusia uwepo wa ujio mpya wa album yake na Jay-Z na kuhusu kupoteza familia yake baada ya kutalikiana na mkewe Kim Kardashian mwezi wa pili mwaka 2020.
DONDA ni album ambayo kuna wasanii waliyoshirikishwa kama Lil Durk , Pusha T , Hayati Pope Smoke.
Lakini pia mkewe wa zamani mwanadada Kim Kardashian na familia yake waliweza kuhudhuria akiwa na watoto wake, mwanadada huyo anaonekana nyuma ya stage akimpa kampani akiwa anajiandaa hii ikiashiria pia bado ana mapenzi ya dhati na Kanye, Rick Ross.
Lakini mastaa kibao wameandika akiwemo Rick Ross kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii kuhusiana na jinsi alivyo mbunifu na mwenye maarifa na akili nyingi.