Mambo muhimu yaliyojiri kwenye Album ya Kanye West "Donda"

Kanye ana very loyal fanbase..Na changamoto zote anazopitia bado anaondoka na kijiji..
Timu kibao huko haziwezi jaza watu hivyo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kavirondo:


Media za Amerika na baadhi ya watu mashuhuri wamesema huyu jamaa ni zaidi ya "genius" maana kumbuka alikuwa anasupport sana "MAGA" watu walijua atapunguza fanbase lkn imekuwa tofauti sana.
 
Jamaa ametoka jimbo la Chicago, siyo ATL..
Kwanza Chicago sio jimbo ni Mji uliyo ndani ya Jimbo la Illinois humo ndani yake ndio kuna mini kama Chicago,Aurora,Joliet na Rock River.

Na hiyo Atlanta sio jimbo vilevile ni mji tu ulio ndani ya Jimbo la Georgia na humo ndani kuna miji kama Athens,Columbus etc

Alafu jamaa amezaliwa Atlanta,Georgia akiwa na miaka mitatu ndio aliamia Chicago,Illinois.

Asante
 
Mzaramo:

Umetishaaa sana mkuu kwa kuweka sawa 🤝
 
Mamlaka na task aliyonayo Yeezy Ni lazima umuone genius wa mziki.
Hov hawezi fanya unyama wake km aliofanya kwa DMX na wengine Ni vile Ana maslahi nae na Rank zinakaribiana japo sio kwa ukaribu huo.
 
Mamlaka na task aliyonayo Yeezy Ni lazima umuone genius wa mziki.
Hov hawezi fanya unyama wake km aliofanya kwa DMX na wengine Ni vile Ana maslahi nae na Rank zinakaribiana japo sio kwa ukaribu huo.

Umeweka vizuri sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…