Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
Kumchagua ndugai kuwa mbungeWagogo Tunakosea Wapi
Nje ya madaOh...safi....
''Hakuna Baba Mwenye Gari, kuna Baba mwenye Nyumba tu....!''
Akiingia atulie sasa, waache sarakasi za mapenzi na kiki zisizoisha.
Mungu awape hitaji la moyo wao na ikawe kheri milele. Amina
Ikiwa huna akili timamu unaweza kufanya hivyo usemavyo.....Nje ya mada
Mkuu unaweza kulala kwenye gari, lakini hauwezi kutembea na nyumba
Wagogo Tunakosea Wapi
Matonya alikua mgogo pia.Wagogo Tunakosea Wapi
Umenielewa Vizuri 😂😁Hahahaa kuhusu nini?
Ndugai, Kibajaj,Matonya alikua mgogo pia.
Tatizo hospital ya milembe ipo kwenuWagogo Tunakosea Wapi
KweliTatizo hospital ya milembe ipo kwenu