Elections 2010 Mambo ni magumu - CCM Dodoma

Elections 2010 Mambo ni magumu - CCM Dodoma

Mayolela

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2009
Posts
384
Reaction score
7
Habari nimerushiwa kuwa ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ,kinachoendelea akutoshi kati ya makundi ya waliotangaza nia ya Uraisi zenji na mafisadi wa bara.
Ebu leteni data mlio karibu na ukumbi kwani mwaka huu tutaona mengi sana,hata bungeni leo ni kutupu kabisa?? loo Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wotee????
Nasikia mtangaza nia mmja ni kama malaika huko Dodoma kwani msafara wake ni balaa,mpaka wa kukodi. tutafika kweli.
 
na wewe bwana unatushtua bure babu zako..kumbe udaku tu
 
Habari nimerushiwa kuwa ndani ya kikao cha Halmashauri kuu ya CCM ,kinachoendelea akutoshi kati ya makundi ya waliotangaza nia ya Uraisi zenji na mafisadi wa bara.
Ebu leteni data mlio karibu na ukumbi kwani mwaka huu tutaona mengi sana,hata bungeni leo ni kutupu kabisa?? loo Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wotee????
Nasikia mtangaza nia mmja ni kama malaika huko Dodoma kwani msafara wake ni balaa,mpaka wa kukodi. tutafika kweli.

Hapa unataka kusema nini hasa? Leta hoja kama mtu anayetaka kutoa hoja? Ok?
 
Kweli ,wengine tupo mabali-ebu tuhabarishe-nani ana msafara mkubwa? Na nini kimetokea kwenye kikao?
 
Yetu macho. na mara nyingi huwa tunasubiri yatimie. hivyo tunasubiria habari kamili
 
Wameambiwa Wazenji wasioukubali mchakato wa NEC kuwachuja warudishe kadi .
 
Wakati kama huu ndio naukumbuka umuhimu wa Field Marshall wa kutuhabarisha habari za ndani; sijui kitu gani kimemsibu au ndio yuko Mtera kwenye kampeni?
 
Back
Top Bottom