Nakubaliana na wewe kwa 200%This talk is phenomenal
Mie nimejifunza jambo uzeeni kuwa kadri unavyogangamala kuzitafuta hela na Zenyewe zinazidi kukimbia..
Lakini ukisolve changamoto njia huwa nyeupe ya kupata pesa
"The more you chase money the harder to get money
The more you find solutions to solve ..money comes after you!
Niko kutatua changamoto!
This talk is phenomenal

True.. ni sawasawa na ule msemo wa " Huwezi kuzipata pesa kwa kuzitamani" utazipata kwa kuumiza kichwa ufanye jambo gani la kufany uiapate hiyo pesaThis talk is phenomenal
Mie nimejifunza jambo uzeeni kuwa kadri unavyogangamala kuzitafuta hela na Zenyewe zinazidi kukimbia..
Lakini ukisolve changamoto njia huwa nyeupe ya kupata pesa
"The more you chase money the harder to get money
The more you find solutions to solve ..money comes after you!
Niko kutatua changamoto!
True.. ni sawasawa na ule msemo wa " Huwezi kuzipata pesa kwa kuzitamani" utazipata kwa kuumiza kichwa ufanye jambo gani la kufany uiapate hiyo pesa
😀😀..huez kuanza kupenyeza rupia Kama hujajua ramani jombaa .Unazitatuaje bila hela?
Ni chache mno za kutatuwa bila hela..penye udhia tia rupia....
Ndagha ngosha!Nakubaliana na wewe kwa 200%
Ila huu msemo ni kamaumeisha muda...! Masuala ya kusema kufanya kazi Kama mtumwa dah!nadhan ni kufanya kazi kwa akili tuFormula ya kikoloni..
"Ujanani, usipofanya kazi Kama mtumwa, Basi Jiandae kuwa mtumwa wa kazi .
Utafanya mbaka ulinzi uzeeni.