Mambo niliyojifunza kuhusu maisha nikiwa nimeshachelewa

Amtegemeaye binadamu.....
Kama kila mtu angefikiri hivi nadhani tusingekua na mabilionea pamoja na watu waliofanikiwa. Ndio maana tunasisitizwa kuwa na mentors kuweza kukupa maelekezo hasa kwenye carrier yako japo si wakati wote unaweza apply ila most of time itakusaidia kuuliza.
 
Ni kwa kias kidogo wanasaidia...!dunia imebadilika..teknolojia umetusaidia Sana hata hivyo..anywys
 
Ni kwa kias kidogo wanasaidia...!dunia imebadilika..teknolojia umetusaidia Sana hata hivyo..anywys
Yeah mabadiliko ya technology yanaanza kutupa jeuri. Mimi kuna skills nyingi nimejifunza zaidi google na youtube kuliko kwingine.
 
Nmejifunza sisi Yani wadogo 25 below tunaona maisha is simple sijui kutokana na age au vipi
Sijui bado sijalala na njaa siku mbili au vipi🤔
 
Mkuu ambacho umeenda wrong ni kwamba hakuna mtu ambae hana uwezekano wa kupitia jambo lolote. Wanaopitia hali ngumu si kwamba walijua itakua hivyo hapana.Hali ngumu zinakuja katika maisha ili ukomae vizuri hata kama utapata unafuu wa maisha ujue dhamani yake.
 
Kuna jambo huwa linanishangaza sana.

Unakuta mtu A anasema B ni Mbaya.

B nae anasema C ni mbaya wake.

Lakini ajabu C na A ni marafiki na utakuta B nae ana urafiki na D.

Sasa unakuta malalamiko ya wanadamu ni kama cycle.
 
Nadhani lugha gongana hapa, hakuna niliposema waliopitia walikosea. Nimesema Experience sio mwalimu mzuri, sitataka nipitie hiyo experience ioi kujifunza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…