oKatika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa ...
1.Uzinzi (uasherati)
2.Kula jasho la mtu
3. Kumuuzunisha mtu
Sijui nyie wnzengu.. mambo yepi kwenu mna yaogopa
Intelligent businessman
Poor Brain
mshamba_hachekwi
Extrovert
Aaha nipo hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpambe wewe
Na bado unaogopaMimi naogopa kuogopa.
Sijasema siogopi, nimesema naogopa kuogopa.Na bado unaogopa
Ndio ndio hivyo hivyo
Namba tatu naiogopa sana...Katika maisha yangu mambo ambayo kwangu ni hatari na ambayo nayaogopa ...
1.Uzinzi (uasherati)
2.Kula jasho la mtu
3. Kumuuzunisha mtu
Sijui nyie wnzengu.. mambo yepi kwenu mna yaogopa
Intelligent businessman
Poor Brain
mshamba_hachekwi
Extrovert
Na unaendelea kuogopa kuonana na MUNGU uso kwa usoSijasema siogopi, nimesema naogopa kuogopa.
Aaha nipo hapa
Yeeah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Thubutuuuuu!!! Wewe huyo?!!
Unayejua mpk kazi ya shanga!!! Hivi kuna mchangiaji anayekuzidi kwenye nyuzi za mizagamuo??
Mtuletee huyo JF National Anthem 😆Mpambe nuksi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee unakata fuse
Na unaendelea kuogopa kuonana na MUNGU uso kwa uso
Mtuletee huyo JF National Anthem [emoji38]
Sawa sawa hilo ameshasikiaAlete mahari kwanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Speed isiwe kaliAnajizima data, nimemuwashia WiFi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tayari ushaanza hapa tutakesha na hatutomaliza leo wala keshoStop being a pest.
Mungu wa ushuzi?
Kwanza kabisa, ili uwe na hoja, inabidi uthibitishe Mungu yupo.
Sio wote huugua hayo magonjwa mkuu, kuna wazee uzee wao sio wa magonjwa wanakufa kwa uzee yaani organs za mwili zinakosa ushirikiano tu.Magonjwa yapi hayo mkuu maana kuna age ukifika automatically tu unaugua kisukari & pressure hujui hata vimetokea wapi