Mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua

Mambo sita muhimu unayopaswa kuyajua

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
6,514
Reaction score
15,247
Mosi,wanaanza kukumiss pale wanapokosa mtu mbadala wa kuchukua nafasi yako
Screenshot_20241107_153521_Quora.jpg

pili, hauwezi kuwa imara siku zote,kuna siku huwa na uzuni na upweke pia,kwahiyo usiogope kulia,lia na utoe huzuni moyoni mwako

Tatu,hakuna mtu ambaye yupo bize kwa mtu ampendae,itategemea umewekwa namba ngapi kwa umuhimu katika listi

Nne, unajifunza zaidi kupitia makosa kuliko mafanikio

Tano, mtu ambaye unatumia mda mwingi kuwa nae ni wewe mwenyewe,kwahiyo jitahidi uwe mtu bora zaidi na mwenye furaha

Ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom