Mambo sita muhimu yakuzingatia wakati wakuchepuka

Benevento

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
4,982
Reaction score
29,537
1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwe ili usiuliwe fala wewe.

2. Usitumie gari yako inayofaamika, chukua taxi,uber,bajaj au bodaboda fala wewe.

3. Usiandikishe jina lako sahihi ukiwa guest, tafuta jina bandia andika hata Kinjekitile Mangininya ng'ombe wewe

4.Funga chumba na ufunguo kwa ndani ikiwemo komeo, ziba kitundu kile cha ufunguo kwa nguo mbuzi wewe

5. Mkumaliza uzinzi wenu msitoke wote kwa pamoja, tangulia mwanaume kuangalia usalama, baada ya dakika 10 ukiona usalama ndipo umruhusu mchepuko naye atoke, wakati huo umeshamteng'enezea mazingira ya usafiri wa kumrudisha nyumbani panya wewe

6. Mungu akuumbue, ukamatwe na upigwe hadi ufe pumbavu wewe. Kwani wanawake wengine hujaona mpaka udandie mke wa mtu
 
HAYA KAMA MARUDIO VILE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…