Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Nafikiria mwiba ukikuingia inahitajika hekima kuutoa. Nafikiri kuna kitu sio chema, yawezekana kabisa kabisa ushahidi walionao hawa wana wa MArikani kuhusu Makonda utakuwa ni mbaya sana hata kuing'oa Sirikali.
Nilipoona kesi ya Tundu Lisu ya kudai ubunge wake imetupiliwa mbali Mahakamani kwa namna ile (yaani kwa maneno ya Jaji yule off records) nami niliamini kabisa TL anazidi kuimarishwa. Najua TL amejazwa hasira sana na Sirikali hii. Hana cha kupoteza na hana cha kumrudisha nyuma. Anapoelekea Zitto ni kama TL.
Hawa watu wanaimarisha chuki ya dhati dhidi ya utawala huu. Ni vema akili ya kuleta hekima ndogo tu itumike na utawala huu kuwarudisha wapinzani katika urafiki - upinzani usiwe chuki bali iwe chachu ya kutofautiana mawazo. Rais kemea maneno ya chuki dhidi ya Zitto, jitokeze sema, ana haki na alichokifanya ila Serikali inatafakari hoja zake ili ijirekebishe na mkopo uje.
La sivyo mkopo hata ukija basi namna unavyosemwa utavyotumika kuna walakini. Kuhusu TL, JPM mpigie Ndugai simu myamalize, Rais tamka TL yupo salama na arudi nchini bila wasiwasi hata km mnatofautiana.
Hakika haya yasipofanyika Sirikali hii itang'olewa madarakani kama utani utani, nguvu ya kutokea kwa nje huwa mbaya sana!