kudamademede
Member
- Jan 1, 2020
- 62
- 241
Huu ni mwaka wa uchaguzi na ningependa nishauri mambo machache kama mdau mkubwa wa siasa za Tanzania
1. Mtu yeyote ana haki ya kikatiba kuwania nafasi katika Jamhuri na sio kwamba nafasi hizo ni za watu maalum.
2. Siasa ni dynamic na sio static, kitu ambacho ni cheupe leo chaweza kuwa chekundu kesho; wanasiasa wanaohama vyama wasibezwe maana hii inatokea kila chama.
3. Chama kinachotegemea kushinda uchaguzi wa ngazi yoyote sio sahihi kuweka macho kwa mshindani wako, utakosa focus: loosers focus on their opponents while winners focus on winning
4. Badala ya kutukanana, jenga hoja maana unaowakusanya kukusikiliza hawana shida na matusi yako; wanataka kusikia sera zenye kubadilisha hali zao za maisha.
5. Kushinda au kushindwa ndio matokeo mawili yanayotokea baada ya kura kupigwa; ukigombea tegemea mojawapo ya haya kutokea.
6. Ukiwaonga wapiga kura wakupe kura zao, jua kabisa wanajua unachofanya. Zama tulizopo, hakuna mtu atakupigia kura kwasababu ya kiroba cha unga au kilo ya sukari. Waambie utawafanyia nini
7. Kabla ya kutoka nje kupambana na wagombea wenzako, hakikisha upande uliopo unakusapoti. Adui zako wakiwa ndani ya mfumo wako, nani atakulindia kura zako?
8. Waheshimu watu ambao unataka wakupe nafasi ya kuwatumikia; kumbuka nafasi unayoipata sio ya kustarehe miaka mitano kisha unarudi kupanga fix za kupata tena
9. Vita kubwa kwa sasa haiko majukwaani huko mitaani, iko mitandaoni. Ujue kabisa kinachoongelewa kwenye mitandao ya kijamii chaweza kukupush mbele au kukuhold back
10. Share na mtu mwingine kama utaona inafaa