Mambo unayohitaji kufanikisha ndoto yako kiuchumi

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Mtiririko unaohuitaji kutimiza Ndoto yako inabidi uundae in Over view kwenye maisha yako.

Maisha siku zote inabidi uwe na Ndoto/Dream...let say (To Have Financial Freedom).

Ndoto yako ili kufanikiwa lazima uigawe katika Malengo/Goals kadhaa 3-4...let say to own
1)TownAce (2)
2)Wholesale Shops (2)
3)Large Scale Chicken Farms

Ili kufanikisha Malengo(GOALS) zako inabidi uwe na list ndefu sana ya Mikakati/Plans/Hustle...Simply unapozungumzia Lengo(Goal) unazungumzia kitu kikubwa kama Biashara ambayo inabidi ikufikishe kwenye ndoto yako, na kwenye biashara hakuna biashara ambayo utaanzisha bila Mtaji kamwe

NOTE “There is no Business you can start without funding ”

Tufanye ndio unataka timiza ndoto yako↓↓

1)Uijue ndoto yako
2)Utahitaji kutimiza MALENGO yako mojamoja...mfano pale juu tuseme CHICKEN FARM (Kilimo cha ufugaji), na kimakadilio umeona Mtaji unaohitajika ni 7 Million simply wewe utakuwa upo responsible kupata hiko kihasi...kwenye kuanzisha biashara lazima ujue FUND RISING ubuni njia utayotumia kuRise/kupata Mtaji wako unaotakikana. How I Can Rise 7 Million To Start Chicken Farm ↓↓

3)Kupanga Mikakati/Plans/Hustles, Hapa utakuhitaji kuandaa Plans/Hustling kadhaa zitazokusaidia kama njia ya kupata Mtaji (Fund Rising)...hapa unaweza look for Employment au ukafikiria biashara ndogo (Hustling) utayotumia pesa ndogo na kuRise pesa nyingi mpaka kihasi hutajika (7 Millions) you can do it randomly through a series of Hustling...Huitaji Focus hapa.

Simply
_Ndoto yako TO HAVE FINANCIAL FREEDOM
_Goal ya kwanza to Start CHICKEN FARM (Capital 7Mil)
_Plan/Hustle itakayo Rise Fund ???

Kitu cha muhimu unapokuwa na ndoto kuvipangilia ni vitatu tu.
1)NDOTO (Dream)
2)MALENGO (Goals)
3)MIKAKATI (Plans)

DREAM~> Need Focus
GOAL ~> Need Consistency
PLAN ~> Randomly (No Formula)


Sent using Guest House WIFI Jamii Forums mobile app
 
Naomba niongeze Akili kama moja ya jambo linalofanya mtu kufanikiwa kiuchumi.

kufanikiwa ni Akili.
Kwahiyo ili kufanikiwa lazima uwe na akili kwanza then hayo mengine yafuate.

Kwasababu bila hivyo.
Dream will be Dreamless
Goal will be Goalless
Na Plan will be plan less.

So tatizo sio watu hatuna hizo dream na plan ila tatizo hatuna hizo akili za kufanya hizo dream goal na plan kufanikiwa.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Well said.
Thread za namna hii zimepungua Sana, zimejaa thread za Corona tu
Na mbaya zaidi wengi wanaoisema Corona hata haijawafika wala hawajaona mtu mwenye ako na Covid hata siku moja

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hongera sana..




Ila mimi nadhani watafutaji tungetumia zaidi neno mipango(plans) kuliko kutumia neno ndoto(dreams)



Matumizi ya neno ndoto (dreams) yanafanya mtu kama anakua hayupo serious na anachokifanya au hana uhakika wa anachokifanya kwahiyo anabahatisha tu!

Mwisho wa siku kweli anajiona yupo ndotoni anaota tu, kumbe huku maisha yanasonga mbele hayamngojei.




Kinyume chake ikiwa tutatumia neno plans(mipango)

Hii ni wazi kwamba inaonesha msisitizo fulani na inaonesha kwamba mtafutaji yupo serious na anachokitafuta au kwa lugha nyengine anakijua anachokitafuta, kwahiyo habahatishi.

Mwisho wa siku anafikia kwenye destination aliyokusudia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…