Unamuweka Lucky Dube kundi moja na Tupac na Bob Marley? Are you serious?Jamaa maarufu kweli huyo pamoja na Bob Marley,bila kumsahau Lucky Dube.Toka miaka na miaka,hata uende ndanindani huko,wanajulikana na ni tokea zamani kabla hata ya maendeleo ya utandawazi.