Negative assumption km KITU haujui we unakua zombie usiingilie taaluma za watu kifikra au kihisia km hauzijui fika wewe km ni Daktari alafu unazungumzia Ujenzi wa Ghorofa km Mwili wa Mwanadamu ulivyo hapo umefeli pakubwa fikra na hisia zako zimekuponza