Mambo vipi wana JamiiForums

Kuna mshikaji kakushawishi ujiunge humu eti eeh?
 
Haya nenda jukwaa la utambulisho haraka iwezekanavyo ukajitambulishe kwanza! Kinyume na hapo, utapigwa ban ya milele. Mtoto gani wewe unaanza na kutembea moja kwa moja kabla ya kutambaa? 🙊
 
Karibu sana mkuu ,umeijulia wapi jf mpaka ukaamua kujoin?, ulijuaje watu wanatumia fake I'd mpaka nawewe ukaja na yako Ndeki...,karibuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…