N Ngosha123 New Member Joined Apr 23, 2009 Posts 1 Reaction score 0 Apr 23, 2009 #1 Natumai nyote mu buheri wa afya njema. Ni mgeni katika safu hii, nahitaji ushirikiano wenu.
The Farmer JF-Expert Member Joined Jan 7, 2009 Posts 1,658 Reaction score 559 Apr 23, 2009 #2 Ngosha123, karibu sana jamvini. Tunategemea mazuri mengi kutoka kwako. This is The Home of Great Thinkers.
Ngosha123, karibu sana jamvini. Tunategemea mazuri mengi kutoka kwako. This is The Home of Great Thinkers.
Next Level JF-Expert Member Joined Nov 17, 2008 Posts 3,153 Reaction score 180 Apr 23, 2009 #3 Ngosha karibu sana hapa kilingeni, lakini angalia usije sahau kulala!