Mambo wana jf...

Mambo wana jf...

pa1985

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
166
Reaction score
43
Ni mgeni humu naombeni ukaribisho. Ina nina mambo mawili naombeni ushaur..
1. Mke wangu mtarajiwa wa rafiki yangu wa karibu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakir wazi. Anaomba msamahaa.. afanyeje?
2. Pia anataka amshirikishe kipato chake halisi. Afanyeje?
 
Karibu sana JF...
Invisible tafadhali msaidie huyu jamaa kupeleka hii mambo yake MMU
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom