Ni mgeni humu naombeni ukaribisho. Ina nina mambo mawili naombeni ushaur..
1. Mke wangu mtarajiwa wa rafiki yangu wa karibu kachepuka baada ya kumuuliza kwa siku nyingi hatimaye kakir wazi. Anaomba msamahaa.. afanyeje?
2. Pia anataka amshirikishe kipato chake halisi. Afanyeje?