DOKEZO Mambo wanaofanya Polisi wa Chato ni ovyo kabisa

DOKEZO Mambo wanaofanya Polisi wa Chato ni ovyo kabisa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana.

Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama Ngoma!

Anawamwagia maji baridi na vipigo vya hovyo.
 
Huo mkoa unalaana
Kuna tatizo mahali
Kila siku mauaji ulawiti mambo ya ovyo yanatokea huko
Mara kuharibu kanisa
Ombeni sana iyo shetan iyoke hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana.

Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama Ngoma!

Anawamwagia maji baridi na vipigo vya hovyo.
Ikiwa anaishia hapo tu kuwavua,na haendi zaidi kwenye mambo ya rangi nyingi ni bora,ila inaweza kuwa hujafunguka ,kwani mikoa ya ukanda huo licha ya laana yao ya asili ya kila aina ya ukatili,pia walilelewa na katili moja hivi na kupewa mibichwa kuwa asiye chama chako haki kumtesa na kumnyanyasa na kufanya hivyo hata mlango wa cheo ulifunguka kwa waaina hiyo😂
 
Sina.hamu na chato ilitoa JITU lisilokuwa na huruma na lilijangaisha familia na nchi bila huruma

Mwisho kaoza yeye haki MUNGU Ni fundi
 
Kuna afande mmoja anaitwa Masabo alitekwa enzi ya jiwe, mpaka Leo haijulikani alipo, alichukuliwa na Noah
 
Kuna afande mmoja anaitwa Masabo alitekwa enzi ya jiwe, mpaka Leo haijulikani alipo, alichukuliwa na Noah
Hata wewe leo unaisaliti timu yako au kampeni ya kujiosha tu😂
 
Back
Top Bottom