Mambo ya beach haya duh!!

Mambo ya beach haya duh!!

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,901
Siku za wikiend nafurahi sana kwenda kuruka na maji ,maana ni hobbie yangu,napenda sana kuogolea, ila natembeleaga jagwani,mbalamwezi na coco mara chache sana.

Juzi nikasikia wale vijana wa beach boyz huwa wanawa**** watoto wa kike wakiwa wanawafundisha how to swim kwa kutumia maboya,leo nimeenda coco na kushuhudia jamaa anakula papuchi kwenye boya ,(nilikua karibu nanyapianyapia nikashuhudia kwa macho yangu jamaa anakula papuchi).

*Michezo ya beach hiyo*
 
Karibu gendaeka tupate upepo [emoji14] [emoji14]
 
Back
Top Bottom