mambo ya dunia hayo !!!

What does this mean? a symbol for something?, decorations, culture, or what?

Ndafu ya harusi, hapa kwetu kilalacha wakati bi harusi anaenda kupambwa, mbuzi ya ndafu nayo hupambwa.
 
Watu wasumbufu sana, wanatusumbua na michangho yao ya harusi wakati kila kitu kiko rahisi.
Huyo punda si ameandaliwa kwa ajili ya kubeba maharusi?
Safi sana, ndio huyo ntakae mtumia kwenye harusi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…