Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #101
Kunywa chaiBaridi sana huku..!
[emoji6]Hahaha
Atajisikia vibaya, ukweli unauma.Lmao! Bana ua utadhani kachora na mkono wa kushoto em mwambie kweli mwenzio [emoji3][emoji3][emoji3]
Atajisikia vibaya, ukweli unauma.
AhahahahahMwenyewe anajua kweli hautamuuma. Kanifurahisha kwa kweli na hii art
Sonia[emoji38][emoji38][emoji38]
Unapotea wewe njoo kwenye uzi wa bachelor suguTooobaaaaa kiarabu tena
Hahahaha nipo nakujaUnapotea wewe njoo kwenye uzi wa bachelor sugu
Siuoni shoo umepandishwa na naniUnapotea wewe njoo kwenye uzi wa bachelor sugu
Naomba kuelekezwa jinsi ya kuingia au kuungwa jukwaa la wakubwaMama SabrinHindi st: 27776603 said:G nimejichora kiunoni ntarusha jukwaa la wakubwa [emoji23][emoji23]
Wanaume mnaojua usafi hili mnalijuamwanzo mgumu utajua tu kuchora...
nimefurahi kuona hufugi mikucha...
gud gal
Una miaka mingapi mkuu?Naomba kuelekezwa jinsi ya kuingia au kuungwa jukwaa la wakubwa