Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Kitunguu kikubwa ndo kinatoa mchuzi mtamu bnaHivyo vitunguu vikubwa mno mbuzi wewe
Njoo mkuu unikule na mimiNdo nini sasa kutamanishana misosi hivyo!!?
Yaani kanajigeuza kenyeweDu ako kamwiko kanaonekana kana umri wa kutosha.Ila usikatupe ndo tunakuwaga na experience na mapishi
Wow! Mialiko ya namna hii huwa inawaongezea watu siku za kuishi! Nipe code nije fastaNjoo mkuu unikule na mimi
Hivyo ni viazi na nini umechanganyaKitunguu kikubwa ndo kinatoa mchuzi mtamu bna
Mkuu unasifaaaaBasi bna inatokea jikoni Kuna chombo kinakuwa kimechooka ila hakitupwi na sio kwamba hakuna kingine basi tu
Mimi hiki kimwiko nakipenda sana nisipokipikia naona kama chakula sioView attachment 1108613View attachment 1108616
Wanawake wa Pwani ni kawaida yao kupika bila kuvaa kavazi pendwa kishika utamu wa wanaume.
Ukiona dera ndembendembe au kitenge hakitulii kwenye kiuno ujue mss wowote kamasi zinadondoka......
Maswali yote yaelekezwe kwa mtoa mada.
K' Matata.