Mambo ya kanga moja na ufunguzi wa Taarabu

Mambo ya kanga moja na ufunguzi wa Taarabu

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752

Khanga Moja wanafanya show katika sherehe na burudani mbalimbali

DSCI0541.JPG

DSCI0542.JPG

DSCI0545.JPG

DSCI0546.JPG

Usifikiri wanapiga deki...!
Hili ndilo kundi zima la wacheza show wa Taarab tokea pande za Mwananyama almaaruf kama 'Khanga Moja' ambao walitia fora ktk ule uzinduzi wa album ya AIBU YAO AIBU YETU ....... mtaani kwao ukipita umevaa kanga 2 lazima wakutoe balu​
 
Wasiharibu sanaa za watu kwa ujinga wao. Tangu lini taarab watu wakacheza bila ya nguo?

Hebu waangalie akina Mwanahawa, Rukia, Sabah, Khadija Kopa wanavaa kijinga namna hiyo?
 
aaaah mjukuu wangu umenikumbusha mambo ya lamu hayaaa walaaah
 
Si mda mrefu,kama bado, bongo kutakuwa na strip clubs, laps dancers na porn stars...watakaoandikwa magazetini kama wasanii wa kawaida..hongereni wabongo wakati wenzenu wanafanya kwa starehe nyinyi mnafanya kwa njaa na ziki...!
 
Wasiharibu sanaa za watu kwa ujinga wao. Tangu lini taarab watu wakacheza bila ya nguo?

Hebu waangalie akina Mwanahawa, Rukia, Sabah, Khadija Kopa wanavaa kijinga namna hiyo?

Kuna mzee mmoja kutoka visiwani aliniambia kuwa taarabu originaly ni muziki wa homos, haya siwezi kushangaa.
 
jamani taarab sio ivo!!
 
weka picha zingine tuone mambo ya wabongo
 
Kuna mzee mmoja kutoka visiwani aliniambia kuwa taarabu originaly ni muziki wa homos, haya siwezi kushangaa.

Huyo hazungumzii taarabu anazungumzia ngoma inayoitwa sunsumia. Taarabu ni za akina Siti binti Sadi ambayo aliipatia sifa sana Zanzibar kwa kipindi kile. Na Siti binti Sadi alikuwa anaimba kwa heshima zake kamili.
 
mafumu bilali,we acha tu jamaa anapuliza mdomo wa bata si kidogo!
 
mh hawa wamezidi mtu wangu si bora waende ohio tu sas hyo starehe au kuhamasisha ngono.sasa hyo maana yake ni nn haileti maana kabisa
 
Back
Top Bottom