Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Wasiharibu sanaa za watu kwa ujinga wao. Tangu lini taarab watu wakacheza bila ya nguo?
Hebu waangalie akina Mwanahawa, Rukia, Sabah, Khadija Kopa wanavaa kijinga namna hiyo?
hao nyuma matobo kama tarumbeta ya bombenga.
Kuna mzee mmoja kutoka visiwani aliniambia kuwa taarabu originaly ni muziki wa homos, haya siwezi kushangaa.
...Taratibu wewe bombenga huwa anachungulia humu!!hao nyuma matobo kama tarumbeta ya bombenga.
mafumu bilali,we acha tu jamaa anapuliza mdomo wa bata si kidogo!