Mambo ya kiafrika

Watu wengine wanaogopa ushirikina kuliko, hata kifungo gerezani.Anamwonea mtoto,michezo ya kitoto ni mingi ukiwemo na huo.
 
Hhhhhh!! mwinge alkuta nazi mlangoni kwake ckuio hakuingia wala kulal kwake alilal kwa rafik ake.kesho ake akawaulzia kwa wapangaj wenzake wakamwambia ni mamafulan ilziweka alkuw anaharak ya kwenda choon"Jamaa alchoka
 
Hahaaaaaa haya mambo bana
Hhhhhh!! mwinge alkuta nazi mlangoni kwake ckuio hakuingia wala kulal kwake alilal kwa rafik ake.kesho ake akawaulzia kwa wapangaj wenzake wakamwambia ni mamafulan ilziweka alkuw anaharak ya kwenda choon"Jamaa alchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…