Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Yaani inawezekana kabisa unampiga vita kiboko ya wachawi halafu unamuunga mkono Martha Mwaipaja kwa kiwango cha 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulete hapa wengine tulishaacha seminary longfaka agooUnanisema Mimi kabisa. 😂😂
Martha nae ni mtu tu, lakini huu mstari sijui kama aliupitia vizuri 1 Yohana 4:1
mchuchu na wewe ulikuwa wa kiboko?Unanisema Mimi kabisa. 😂😂
Martha nae ni mtu tu, lakini huu mstari sijui kama aliupitia vizuri 1 Yohana 4:1
Shangazi na wewe ulikuwa wa kiboko?
Hawa wote inaonekana kila mmoja aliamua kuingia mashineni na kujikoboa ngozi.Yaani inawezekana kabisa unampiga vita kiboko ya wachawi halafu unamuunga mkono Martha Mwaipaja kwa kiwango cha 100%
View attachment 3058389
Ni kuhusu kuzipima roho kabla ya kuziamini kama kweli zinatokea kwa Mungu.Ulete hapa wengine tulishaacha seminary longfaka agoo
Wewe una mzani wa kupima roho? Kwanza roho ni nini?Ni kuhusu kuzipima roho kabla ya kuziamini kama kweli zinatokea kwa Mungu.
Wewe una mzani wa kupima roho? Kwanza roho ni nini?
Jibu swali wewe acha kutetemekaOk you are right. thank you
Yupo sahihi kutembea na bodigadi.Kama ni tapeli na akakutana mtu alishamlia milioni mbili zake si atampiga mitama😆Ukishaona mtu anajiita Mtumishi wa Mungu halafu anatembea na Mabodigadi hapo hamna kitu.
Bora Wazee tuendelee kuabudu kwenye miti na mapango kuliko kwenda kuabudu Kwa hao matapeli
Hahahaha...............huenda hiyo ikawa ndiyo sababu, maana wengi wao wanatembea na Mabodigadi Siku hiziYupo sahihi kutembea na bodigadi.Kama ni tapeli na akakutana mtu alishamlia milioni mbili zake si atampiga mitama😆
Salute kwako. Umeongea point.Yupo sahihi kutembea na bodigadi.Kama ni tapeli na akakutana mtu alishamlia milioni mbili zake si atampiga mitama😆