Mambo ya Kiimani hayo

Ukishaona mtu anajiita Mtumishi wa Mungu halafu anatembea na Mabodigadi hapo hamna kitu.

Bora Wazee tuendelee kuabudu kwenye miti na mapango kuliko kwenda kuabudu Kwa hao matapeli
Yupo sahihi kutembea na bodigadi.Kama ni tapeli na akakutana mtu alishamlia milioni mbili zake si atampiga mitama😆
 
Yupo sahihi kutembea na bodigadi.Kama ni tapeli na akakutana mtu alishamlia milioni mbili zake si atampiga mitama😆
Hahahaha...............huenda hiyo ikawa ndiyo sababu, maana wengi wao wanatembea na Mabodigadi Siku hizi

Hawaamini Ulinzi wa Mungu wanaomuabudu na kumuhubiri 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…