Mambo ya kikuku kinaashiria nini??

Kuna Mama1 alikua mbunge wa Kawe huwa anapenda sana kuvaa sijui ni urembo kweli!
 
Nafikiri ni urembo zaidi kama kuna wanaomaanisha kitu tofauti ni wachache.
 
Rita Mlaki aliyekuwa mbunge wa Kawe na amewahi kuwa Naibu waziri enzi za Mkapa karibu miaka yote kumi nimekuwa namwona anavaa chain mkuuni na huwa anavaa nguo siku zote zinafika magotini. Rita anamiguu mizuri sana ya chupa, figure nzuri sana mkwa kweli ni mrembo sana.
 
Kinamaanisha samaki lazima ageuzw pande zote wakati wa kumkaanga
 
huwa navipenda sana ivo vikuku ni urembo tu hamna kingine
 
Haya tukubaliane kutokubaliana maana kwa wengine ni urembo na wengine ni .............!!!
 
Kwa wale wasiojua maana ndiyo wanaoharibu tamaduni za watu.

Vikuku huwa vinavaliwa miguuni na vyengine huwa na vikengele vidogo vidogo ili wakati wa kucheza ngoma vipate kulia.

Hizo nyengine ni maana zenu wenyewe muliokuja mjini na kuona vitu vya watu halafu mukavibadilisha maana.
 
Mmh jamaa kapga bonge la kijogoo la wapi hili mbona kinyaa jamani

Mwenzenu huyo yuko sero ya nyumbani na hiyo mguuni ni ankle bracelet for house arrest. Havuki mtaa wa pili bila Afande kumuarest. tehteeee.
 
unashangaa!!!!!!!!! kamuulize spika wa bunge, maana baadhi ya wabunge wake wa kike wametinga mjengoni na hizo jamaa unaziita vikuku!!!!! hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! mambo ya utanda wazi hayo!!!!! upo hapo?
 
hapo ndio umekosea kabsaaaaaaa bora usingechangia ki2, kwanza kama ni utamaduni mbona ni jamii flan iv, hiyo kwa ufupi ni TIGO RUSHAAAAA haina utamaduni ushamba tu
 
Ni urembo tu kwa kweli wandugu hakuna maana yoyote nyingine mbaya......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…