4.3b? ...Mfalme Juha
Ya kwake inaitwa Baobab kama sikosei,ipo unapoanza tu kuingia Bagamoyo ukitokea Dsm..
.....jamani hiyo shule ya baobab siyo ya JK ...Ni ya QS mmoja chuo kikuu cha ardhi namjuwa in person ila sioni sababu ya kumtaja hapa.....sometimes tumtendeeni JK haki yake ..ikiwemo ya kumpiga madongo ya ukweli ...
Typing error or what mensiour Papa H
haah, hiyo sianajenga nyumbani kwao, ili anapostaafu rasmi after october waweze kumkubuka na hilo.