Mambo ya kishirikina/kichawi ambayo sikutakiwa kukuambieni

Walozi ni mabingwa sana wa kucheza na akili zetu! Juzi hapa kuna Mlozi mmoja akanambia, ukienda kunyoa kwa kinyozi, usiache nywele, zikusanye ukazitupe mwenyewe, au mwambie kinyozi aje akunyolee nyumbani. 😊

Nimecheka sana hii mada.
 

Umechelewa kidogooo....huu ufundi ungeweza kuepusha vichwa kupotea baada ya ajari
 
Walozi ni mabingwa sana wa kucheza na akili zetu! Juzi hapa kuna Mlozi mmoja akanambia, ukienda kunyoa kwa kinyozi, usiache nywele, zikusanye ukazitupe mwenyewe, au mwambie kinyozi aje akunyolee nyumbani. 😊

Nimecheka sana hii mada.
Kwani hata za siri unaenda saluni!?πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏβ—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…