Prince 14th
New Member
- Apr 29, 2024
- 1
- 0
Kutokana na wasifu wangu inavyoweza kujulikana ni kwamba elimu ni muhimu Sana kwetu na ni msaada mkubwa Kwa jamii zetu.
Hapo basi elimu ni maarifa ya ziada yanayotusaidia sisi katika kupambana katika kukidhi mahitaji yetu binafsi na isitoshe elimu pia ni mojawapo ya njia ya uwakilishi wa cheo kizuri kutokana na hayo yote tukiweza kuangalia baadae miaka kumi mbele hivi katika suala la elimu ingepaswa kuwa katika maslahi ya juu sana hata na hivyo ingetakiwa na vitu.
Kama ifuatavyo ikiwemo mojawapo kama upatikanaji rahisi wa vifaa vya ufundishaji kwa wanafunzi, kuwepo na mifumo mbalimbali ya kiteknolojia ambayo ingeweza kumsaidia mwanafunzi yeyote yule kupata mafunzo bora kwa kuzingatia sehemu zote kama shule ya msingi, sekondari na hata advance na mengineyo.
Kwa hiyo itaruhusu ufaulu mzuri kutoka kwao ambavyo vinaweza wezesha wao kujua vitu kwa maumbile yao na ikiwa pia kuwe na vipindi vyake ambavyo wanaweza kujifunza kutumia kompyuta kwa urahisi maana kina somo lake na mitihani ya kawaida itolewe ili kupima uwezo wao waliofikia na namba gani ya kuwaendeleza pale wanapokosea
Tukiachana na hilo pia kuna suala la namna ya kujifunza kwa vitendo ya kwamba si muda wote wanatakiwa wafundishwe kwa kuandikiwa ubaoni au kupewa kazi ya kufanya, inapaswa elimu hiyo kutolewa kwa wote bila ya vipangamizi vyovyote vile wawe wanapewa mada na muelekezaji wao wakatafute wenyewe somo na kujifundisha wenyewe kwasababu si wote wanamuelewa mwalimu na kuna wengine wanaelewa sana na hata hivyo wakifundishana wenyewe kwa wenyewe ni rahisi kutokusahau mapema na itamsaidia yoyote yule miongoni mwao kukariri mapema na kuweza kupanua akili zao kwa ajili ya maarifa mengi ambayo yatamsaidia yeye kibinafsi na kila mmoja wao akawa anachangia kile anachodhani kitakuwa sahihi na ndio jibu lake
Hii itapunguza mzigo wa mwalimu kupunguza uzito wa kurudia mada kila siku nakuchelwa kumaliza syllabus yaani wakifanya hivyo itawawezesha wao kuiinua katika namna nyingine ambayo itakuwa ni ya kipekee zaidi sana kiliko ya mwanzoni hivyo basi kutokana na hayo yite niuoweza kuchangia kama mawazo yangu binafsi na serikali ikshirikiana Kwa umoja wake itasaidia sekta hiyo kuiinua na kugikia malengo yao bora nayaliyoweza kuafikiwa .
Ushauri wa bure hii ni suala linalokumba wengi sana hivyo ingepaswa lifanyiwe kazi kwa ufasha unaostahili katika manufaa yake.

Upvote
2