Mambo ya Kuepuka Ukiwa na Mimba/Ujauzito

Somo zuri, nasizitiza kuhusu utumiaji wa dawa bila ushauri wa daktari. Mf. Tumbo la kuhara unatumia flagly.
 
Unamaanisha mikunjo??
Hiyo hata siku anaenda leba inaruhusiwa
 
Kuna uzi wa zamani sana humu unaelezea namna ya kufahamu jinsia ya mtoto bila ultrasound asee niliwahi kuutumia kwa watu wawili ulileta majibu sahihi. Sijui upo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…