Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Nzi ni dawa?Hakuna cha kufikirika hapo, miti ni dawa, asali ni dawa, vitu vingi tu ni dawa kama ambavyo vingi pia ni sumu.
SijaelewaVijana....
Mtakuja kufia vinenani...[emoji1787]
Ni ukweli mkuu muulize muislamu yoyoteHaha hapo kwenye Islam hicho kipande kimekaa kama uganga.
Sio cha kutuma kweli
Afadhali hata usielewe mkuuSijaelewa