Mambo ya kujaribu jaribu ovyo

Joined
Nov 13, 2015
Posts
34
Reaction score
37
Jamaa kanunua kifaa cha kukamulia ng'ombe maziwa, alipofika kwake akasema ngoja nikijaribu,
Akakivaa kwenye UUME
Akawasha kikawa kinamtekenya mpaka akamwaga shahawa,
Sasa anaangalia pakuzimia hapaoni, akaona namba ya kampuni akapiga cm akawauliza nizime wapi?
Wakamjbu
ikifika lita tano kitazima chenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…