MAMBO YA KUKOPA

MAMBO YA KUKOPA

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
533
Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mungu Ni Mwema
 
Ebungoja niendelee kusoma comments, labda nitaelewa baadae
 
Anaongelea kuwa wakopaji akiwa anakwenda kuomba assist anakuwa mnyenyekevu sana anasalimia kila kiumbe! hahahahah
 
Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mungu Ni Mwema
Hahahahaha...... eti "una sura nzuri nyau" hapo nyau anamjibuje?
 
Unakuta jitu la miraba minnee kwa enzi zile au six packs miaka ya siku hizi limekuwa polee hadi linatia huruma,utafikiri sio lile linalonyanyua vyuma,ogopa kitu inaitwa njaa...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

-Ndumilakuwili-
 
Hahahahaha...... eti "una sura nzuri nyau" hapo nyau anamjibuje?
Nyaauuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mungu Ni Mwema
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Mungu Ni Mwema
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom