super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 533
Anaongelea kuwa wakopaji akiwa anakwenda kuomba assist anakuwa mnyenyekevu sana anasalimia kila kiumbe! hahahahahEbungoja niendelee kusoma comments, labda nitaelewa baadae
Hahahahaha...... eti "una sura nzuri nyau" hapo nyau anamjibuje?Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mungu Ni Mwema
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakuta jitu la miraba minnee kwa enzi zile au six packs miaka ya siku hizi limekuwa polee hadi linatia huruma,utafikiri sio lile linalonyanyua vyuma,ogopa kitu inaitwa njaa...
Nyaauuu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Hahahahaha...... eti "una sura nzuri nyau" hapo nyau anamjibuje?
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mungu Ni Mwema
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mtu akitaka kukopa anakuwa na adabu sana, akifika kwako atamsalimia hata paka wako, utasikia 'Huyu anaitwa nani?'. Ukimwambia anaitwa Nyau, utasikia 'Nyau hujambo? Una sura nzuri Nyau'
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mungu Ni Mwema