Mambo ya kukumbukwa kwa bunge la 12 la Tanzania

Bunge lenye
  1. Low minded people
  2. Mentally retarded mps
  3. Poor reasoning
  4. Pedophiles na whores
  5. Murderers and racketerers
  6. Devils with Prada suits
 
Bunge lenye
  1. Low minded people
  2. Mentally retarded mps
  3. Poor reasoning
  4. Pedophiles na whores
  5. Murderers and racketerers
  6. Devils with Prada suits
Wananchi wamepokonywa wawakilishi wao sasa tuna wawakilishi wa raisi
 
Bandari zetu..., hakuna jambo lililoumiza kama kugawa mali zetu bure kabisa kwa wajomba.
Wamasai wa Handeni sijui hali zao zikoje hadi sasa!

Mapori yetu; eti waTanzania hatuna hata uwezo wa kutunza na kuendesha hayo mapori ili tupate hizo "carbon credits"!

Hayo na mengi mengine ya kusikitisha yaliyohusishwa na Bunge hili itakuwa ni kama mchezo tu iwapo Samia Suluhu Hassan ataendelea baada ya 2025 na kuendelea hadi 2030. Huyu mama amajitambulisha kuwa mharibifu mkubwa sana wa mali za nchi hii na usalama wa wananchi wake. Akipata mitano yake, kwa njia yoyote ile iwayo, Tanzania itakuwa imepata bahati mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…